THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
MINISTRY OF HEALTH
NATIONAL AIDS CONTROL PROGRAMME
Furaha Yangu- Je,mtu anayeishi na VVU anapaswa kupima kiwango cha virusi mara ngapi kwa mwaka?
Furaha yangu- Ni bahati kuwa na marafiki wanaotuletea Furaha katika maisha Yetu.
Furaha Yangu- Tumepima VVU na kuanza ARV mapema.
Furaha yangu ni Kutokupata TB
Furaha Yangu ni Mwenzi Wangu kupima VVU kama mimi.
Furaha Yangu ni kukusikiliza na kukuhudumia-Karibu tukuhudumie!
Umecheki Afya Yako?
Furaha Yangu ni Kupungua kwa VVU Mwilini